Go To Top

Malaika Lyrics

Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika

Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Pesa zasumbua roho yangu
Pesa zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika

Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika

Malaika Lyrics performed by Miriam Makeba are property and copyright of the authors, artists and labels. You should note that Malaika Lyrics performed by Miriam Makeba is only provided for educational purposes only and if you like the song you should buy the CD


What is the meaning of Malaika lyrics?