Go To Top

My Angel (Malarka) Lyrics

Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada

Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika

Pesa zasumbua roho yangu
Pesa zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio

Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika

Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada

Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika

Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ngekuoa dada

Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika

My Angel (Malarka) Lyrics performed by Harry Belafonte are property and copyright of the authors, artists and labels. You should note that My Angel (Malarka) Lyrics performed by Harry Belafonte is only provided for educational purposes only and if you like the song you should buy the CD


What is the meaning of My Angel (Malarka) lyrics?